Sunday, December 5, 2010
KUWA MUWAZI MOJA KWA MOJA BADO NI SERA NZURI
Tabia na utamaduni ni vitu vinyoweza kumjulisha mtu mmoja kwa wengine kwamba yeye ni nani ,mathalani yeye mambo haya hayapendi na mambo haya anayapenda,lengo la watu wengi ni kuwa na amani ya moyo,je ulishawahi jiuliza siku unawezaje kuipata amani wakati wewe haueleweki kama upo kwa upande gani?ili watu waajue jinsi gani ya kuishi nawe inabidi uwNo table of figures entries found.e wazi ilibaadae isije kuja matatizo baadae,mara nyingi sera ya mtu kuwa straight yaani kukiri moja kwa moja kama ni nyeusi au nyeupe imekuwa ni shida sana hapa kwetu Africa na inachukua muda sana watu kuifanyia kazi, hii mara nyingi inatokana na hofu ya kuogopa wanadamu wengine alisema Beatrice Nyamburua kutoka Nairobi ,utakuta mtu mnapanga naye maagano ya jambo Fulani badala ya yeye kukataa moja kwa moja ananyamaza kimya halafu mwisho wa siku anakuja kukuambia kuwa jambo hilo haliwezekani hii kweli inauma sana pia kisaikolojia ina muathiri Yule unaye mgeuka,pia katika Nyanja ya dini kwa wale waamini ni dhambi kumpotezea mtu muda wake kwa uzembe wako wa kushindwa kujua kuwa muwazi moja kwa moja ndoo jawabu ya jambo ulilofanya.Nilikuwa ofisi moja pale Kenya nafanya kazi ,msaidi wa bosi wa kampuni yetu alikuwa anashauri bosi mambo mbalimbali kutokana na ofu ya kuogopa akimshauri bosi wake kinyume na bosi wake anavyofikir bosi angemropokea na hata kumfukuza kazi hivyo anajifanya kuwa yupo mstari wa mbele kumsapoti bosi wake kwa mambo yote mabaya na mazuri badala ya kutoa ushauri unaofaa na kuishia kumpotosha kisa anahofia akisema itakavyo atapoteza ajira yake,alafu ikitokea watu wakaanza kumpa changamoto bosi wake ghafla akamgeuka bosi anajifanya kumponda bosi wake na kumchafulia jina lake kuwa bosi wake ni mbishi,anangania mawazo yake tu mara bosi vile wakati wa vikao vyote yeye alikuwa anitikia ndio siku mambo yapoanza kwenda kombo yeye anaanza kugeuka bosi wake si uungwana kabisa na uzandiki wa hali ya juu maaana haiwezekani make vikao na katika mchakato wote mpo pamoja na ulikuwa kimya na kukubaliana sawa mwishoe unakuja kumkana.Nimekuwa nikifuatilia chimbuko la jambo hili hapa kwetu afrika nah ii kweli naamini inatokana na kutokuwa huru kwa watu na kuwa na hofu juu ya maisha yaani kwa lugha nyepesi ni kuwa watumwa wa wanadamu wezeko,japokuwa kuna sababu nyingine ambayo ni muhimu na ndoo chimbuko,kuwa viongozi wetu wa awali walipanda mbegu hii na sisi ndoo matunda ya hiyo mbegu iliyopandwa na viongozi wetu wa mwazo,ukisikate taama ukisia hayo kama walipanda mbegu hiyo basin a sisi tupande mbegu nyingine iliyo nzuri kwa taifa la leo na kesho,kuwa muwazi sasa kwa lolote lile,sema ndio au hapana,Ndugu yangu yangu katika hii dunia kama unataka kuishi kwa furaha jaribu kuwa muwazi moja kwa moja kweli utakuwa na amani na furaha usiogope hamna mtu kashikilia hatma ya maisha yako ni wewe pekeehuwezi kujua ni kiasi gani cha maumivu una msababishia Yule unaye muongopea.
Tujifunze jinsi ya kumaliza kiini cha tatizo ,tuache kupanda mbegu ya uongo katika familia zetu ,wazazi wetu walituongopea kuwa watoto wananuliwa hopitali je unaona huu uongo ni wa kuendelea nao kizazi hadi kizazi?ni muda wa kuwa wa kweli sio waongo huku twajua kweli ni upi…,je ushawahi kuhisi siku kama mwezi mmoja ukaishi kwa ukweli na sio longolongo,alafu mwezi ukaishi kwa longolongo na uongo ni upi mwezi ambao unefanikiwa amani ya moyo?ni kazi ndogo tu sisi kuruhu hali ya kubadilika ndani ya nafsi zetu nasi tutakuwa watu wema na wenye amani kubwa.
Labels:deo kilawe
deo kilawe
CHUKUA VILIVYO VYAKO HAPA ULIMWENGUNI:
Sayari zipo takribani zaidi ya kumi,japo utafiti bado unaendelea ili kugundua sayari nyingine hapa ulimwenguni,waweza jiuliza ulimwengu nini?bila shaka kama ni mfuatiliajimzuri wa mambo jibu litakupa ni muunganiko wa vitu vyote ambavyo ni sayari ambapo ndani yake kuna sayari ya dunia,vitu vingine vinavyokamilisha neno ulimwengu ni mwezi,nyota,jua na vingine ambavyo bado kisayansi havijagunduliwa,kila moja kimoja kinautofauti wake kutoka kwa kingine,ndani ya sayari ya dunia kuna mengi kama milima,mabonde,bahari,wanyama,mimea, binadamu na viumbe isivyo hai ,lakini cha kushangaza kila kitu kipo tofauti na kingine ukiangalia kwa makini utakuta milima imetofautiana na wanyama,wanyama wametofautiana na binadamu yaani kila kimoja kina nafasi yake na maana yake yakuwepo hapa kwenye hii sayari ya dunia,katika tafiti na misemo ya watu mbambali binadamu pia wote wametofautiana maana yake kila binadamu anajinsi ya tofauti alivyoumbwa kutoka kwa mwingine ,na ndoo maana haijawahi kutokea hata siku moja duniani binadamu wote wakakubaliana japo kwa sekunde moja dunia nzima na sidhani kuna siku itatokea,japo kuwa kuna watu mbalimbali wanaoishi ilimradi wamridhishe au kuna watu wanaoishi kwa kuigana hii ni katka ulimwengu huu tunaoishi wa” material world” ambapo namba ya material people inaongezaka huku namba ya immaterial people inapungua ,lakini turudi hapa,kwanini nasema binadamuwote tumetofautiana?je kuna siku ulisha wahi jiuliza natambua mwanadamu mwezangu kwa sura an umbo la mwili wake lilivyo au kwa roho?kama jibu ni kwa roho basi kila mwanadamu ni tofauti kutoka kwa mwingine,na kila mwanadamu ananafasi sawa kama ilvyo kwa wengine,hakuna mwanadamu aliyemzidi mwingine nikimaanisha kuwa wanadamu wote ni werevu sawa na wajinga sawa mbele za Mungu au hakuna mwanadamu anambania mwenzake asifanikiwe maishani bali ni yeye mwenyewe ana uwezo huo kuamua kufanikiwa au asifanikiwe,hapa wengi hutumia mwili kuamua kufanikiwa wakati wao sio mwili bali wapo katika formless ndugu yangu ili uweze kuwasiliana na wewe inabidi uwe katika umbo lako la formless njia ambazo zinaweza kupeleka katika hali yako ni meditation,sala zaukimya,kutafakari kwa ukimya maeneo mbali na wanadamu,Umbo la mwanadamu ni vazi tu mwanadamu alipewa ili afurahie maisha ya hapa sayarini achana na nguo wanadamu walizojitengenezeawao wenyewe zinahistoria yake hizi na chimbuko lake.Ndugu yangu ulishawahi jiuliza kuwa sasa kama wanadamu wote ni sawa hasa mbona wengine matajiri na wengine ni masikini?nadhani ni swali linalotekenya kichwa ,ni kweli napenda kusema hivi dunia iliumbwa kwa principle na hivyo kama unataka ufanikiwe uwe na furaha ,fedha,kuungwa mkono,kushinda majaribu yote kuna kanuni inabidi ufuate ili uweze fanikiwa katika hayo,ndoo maana unaona kati ya matajiri na masikini wa fedha tofauti ni mambo wanayoyajua na sii kingine ,kanuni za kuwa tajiri zipo wazi,inaaminika wengi masikini wa fedha pia ni masikini wa mawazo ndoo maana wengi wanakata tama kabla hata hawajaweka nia mioyoni mwao,wengi wanahusishwa na uvivu wa kufikiri kwa angalau siku moja kwa wiki,kumeditate,kusali kwa ukimya wengi wao wanapenda vitu ambayo tayari vimetaarishwa mathalani kutizama luninga tamthilia Fulani na vipindi kedede muda wote,kupiga stori san asana kusikiliza kutoka kwa wengine,kucheza tu michezo mbalimbali muda wote na kadhalika.Haina haja ya wewe sasa kuanza kumuone mwezako wivu kisa kaendelea yule ni Yule na wewe ni wewe hajakushika mashati akuzuie usifanikiwe wala hajachuma mali zako zile ni zake,kila mwanadamu anautajiri mkubwa wa mali zilizoangukia upande wale ila wanadamu wanashindwa kuzichuma hizo mali .kuwa tajiri ni kanuni haijalishi wewe ni mdhambi au la,bali inajalisha wewe unazifuata kanuni au la ,sio kipimocha wewe unasali eti sana hii ni hapana.
Ndugu yangu kama nilivyosema awali wewe upo katika hali ya formless(roho),ukitaka kujua wewe ni nani inabidi uwepo kitika hali yakonjia ambazo zinaweza kukufikisha hapo ,meditation ni chaguo bora zaidi,sala za ukimya pia ni nzuri,ukishafika katika hali ya roho sasa anza kujiuliza wewe nini Mungu kaweka nini ndani yako(kipawa) na pia unataka nini katika hii sayari?,jaribu kudadisi kwa makini na taratibu tizama mfano katika hawa wote unataka uwe nani,Msanii,Billionea,Mkuu wa nchi,Kiongozi wa dini,Mfanyakazi,Mwanasayansi,Generali wa jeshi,Mtawala katika mamlaka za serikali na organazesheni zake,Msomi, Mwenyekiti mtendaji wa makampuni makubwa,nakadhalika.Hapa ni wakati mgumu sana kujua wewe ni nani,lakini yakupasa kufuata sauti iliyokuwa inatoka nafsini mwako sio unachoona kwa wengine,tafuta wewe ni nani?taratibu fuata kinachotoka kwako wewe,baada yaw ewe kujitambua sasa anza sasa kukifanyia kazi kile ambacho umekipata hata kam watu watakukatisha tama,njia iliyo bora ni kungangania jambo kama unauhakika nalo haijalishi ni changamoto zipi unazipata maana wanaokupa changamoto hawana maono wewe ndoo mwenye maono sasa inakuwaje asiyekuwa na maono na asiyejua jambo kwa nini akuyumbishe?,ndugu yangu ,anza kutafuta ushauri kwa wataalamu wa hilo jambo lakini kuwa makini watu sio usijaribu kutoa wazo lako wewe taka ushauri binadamu mara nyingi sio waaminifu ,kisha utafanikiwa katika hilo jambo ukiongezeo asilimia kubwa ya nguvu zako,
Siri kuwa duniani kuna mambo mengi sana chukua yaliyo yako tu na ondoka zako,huu ulimwengu umejaa mengi makelele yanachafua hii dunia,wengi wanasema wanavyosema jiulize wewe unasemaje?acha kuiga watu kila mtu ana namna ya kufanikiwa,jiulize kama utaiga ukifika kwa wale wakatishaji tama si utashindwa tu jiamini ndugu yangu.Dunia imejengwa na Mungu kwa misingi ya kanuni na kufanikiwa ni kanuni.Zingatia hili usipende kuropoka ovyo ovyo malengo yako kwa watu wengi ni waaribu maono ngangania na kile unachokijua ndugu yangu.
Labels:deo kilawe
deo kilawe
Subscribe to:
Posts (Atom)