KANUNI INAYOTUMIWA NA WANASIASA WENGI KUWAMALIZA MAADUI ZAO:
Mihemuko ya kisiasa kama wewe ni mwanasiasa na haupo imara na jasiri(makini) inaweza kukupelekea kuchafuka na kutokuwa na thamani kwa wateja ambao ni wananchi wapiga kura wan chi yako au jimbo na kata yako,siasa ni biashara kama zilivyo biashara nyingine mfano kuna muuza sera na wanunua sera kwa hiyo mwanasiasa ni mfanyabiashara wa kuuza sera wananchi ni wateja,nimekuwa karibu kufuatilia siasa za Afrika,east Europe,Asia,Uarabuni,na nchi za magharibi ambapo ndipo wanafilisophia wa demokrasia wengi wametokea huko,na katikamaeneo haya yote siasa zinatofautia hii inatokana na sababu nyingi sana za msingi baadhi ni umriwa demokrasia katika bara na nchi husika,utamaduni, na uhuru wa maamuzi kwa wananchi na vingozi wanchi,mara kadhaa nimeshudia wateja wa wanasiasa wakiwashusha thamani wanasiasa na kuwapandisha lakini siri nzito huwa inabaki ndani wale wanaopanga mara nyingi katika kila maamuzi asilima themanini huwa ndio waanga wa jambo lolote lile,kuna sehemu kama nchi za SADC wapinzani mara zote hutumia principle za kisaikologia za kisiasa katika kutimiza haja zao japo bado idadi sii kubwa sana ya wanasisiasa wanaojua nini maana ya demokrasia na uchaguzi,katika kanuni zote nii hii ambayo mimi huiita” pima”yaani ya kumtupia adui mtu(mpizani wako)neon la kashfa Fulani au neon la mtego na kama mpizani wako si makini ataingia kichwa kichwa kukujibu na na kujikanyaga kanyaga kukupatia nguvu ya wewe kuweza kusonga mbele na kukuacha wewe umeshuka thamani k awateja wako hapa sina maana kuwa unatakiwa kuwa kimya muda wote bali upo katika mazungumzo gani?mwaka 2010 novemba Obama raisi wa marekani nchi yake siri za ubalozi zake zilivujishwa lakini yeye kama yeye alikaa kimya kutojibu chochote maana yake jibu au maoni yake na msimamo wa serikali yake ungelete mzozo dunia nzima maana hapa kuna watu wampinga Lusian Assange na watu wengine wanataka uhuru wa vyombo vya habari na wote wana hoja za msingi kulingana na wote hawa,hivyo kama thamani yake ingeweza kuporomoka kwa kasi kubwa sana,Kitaalamu mtu akikutupi neon baya na wewe ukiruhusu kupita jambo hilo kupita ndani ya sehemu za ufahamu kao na nafsini kwako huwa ndoo kamba ya kujinyonga nao umejitundika nayo, hapa kweli mara nyingi watu hufanya makosa kwa kuchanganya kupita kiasi malengo yao dhidi ya matatizo ,sasa ndugu yangu napenda kukuambia kuwa angalia ni mada ipi unaenda kuzungumza na watu zaidi ya wawili au jamii na wewe unanafasi gani katika hilo usije ukajifanya wewe ni redio mbao ukaishia huna thamani,Nchini Tanzania katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2010 october mkurugezi wa jeshi la wananchi wa Tanzania aliwahi kuogea kwa mihemko ya kijeshi kuonyesha kama anakilalia chama Fulani mfano CHADEMA ,alichofanya DR Slaa ni kutumia nafasi hiyo kumtupia neon lisilo la kumuhukumu bali ni kumtega ili aende katika vyombo vyombo ya habari ili ajibu na kujikanyaga Dr Slaa alimuuliza aseme fedha za meremeta na nyingine aleze ziko wapi?kwa saikolojia ya wengi walikuwa wanategemea mkurugezi wa jeshi angejibu bali hakujibu,lakini kila pale Dr Slaa alipoendele kumchokonoa ili mkurugenzi lakini mkurugezi aliendelea kukuaa kimya maana mkurugezi wa jeshi alikuwa anajua kama angejibu basi ingekuwa ni kitanzi chake kwani lilokuwalinafuata ni yeye kupoteza thamani,umarufu kwamaana hata kama vipi yeye yupo sahihi watu hawataweza kumuelewa yeye.Mara nyingi kuna watu maarufu Tanzania wamekuwa na kashfa nyingi kupitia magazeti na mwishoe kupoteza wateje wao na umaarufu wao nchi nzima na watu kuwaona kichefuchefu hii ni kutokana na wao kidogo tu wakiandikwa vibaya wanakimbilia katika vyombo hivyo hivyo kujibu wakifiri wametatua tatizo kumbe wameliongezea hatua tatizo,ndugu yangu najua elimu juu utumizi wa vyombo vyombo vya habari Tanzania bado ni ndogo,tumia sasa vyombo hivi kukujemnga wewe na sio kukubomoa penda hisia zako mfano umechukia usionyeshe tawala hisia zako,kuwa mtu kuongea chanya muda wote,kama huna neon lolote nzuri kwa Fulani au kwako usiogee kabisa siku hiyo,kuwa huru na maneno ya watu wewe ni tofauti na wengine.Mtu aliyekuwa huru ni mtu anayefanya maamuzi yake kwa kutakari tamani sasa kuwa makini kwa lolote lile ambalo unakutana nalo katika sekta ya siasa
.
No comments:
Post a Comment
THIS IS YOUR PLACE TO COMMENT