Thursday, December 2, 2010
Kilawe Deogratius mjasiriamali aliyebobea aanziasha new project.........
Baada ya kufanikisha project yake ya stationary bab kubwa na lenye kutoa huduma kwa bei nafuu,mjasiriamali na mwandishi wa makala za kuchochea kufanikiwa Tanzania,sasa ameanzisha project yake ya kuwafundisha watu jinsi ya kutengeneza blogspot kwa bei ndogo sana ambayo mtanzania anayeishi chini ya dollar mioja anaweza kuimudumu hii nia idea ambayo Mr Deogratius kilawe analengo la kila Mtanzania kuwa na yake blogspot ,...........,vilevile Mr Deogratius Kilawe amefungua rasmi project kabambabe ya kutengeneza website nzuri zenye hadhii ya kimataifa na mishiko kwa watu wote kwa kampuni za kitanzania na nje ya kitanzania kwa bei nafuu..... kwa mawasiliano na Deo kilawe unaweza mpata kwa 0717109362 au email:deogratiuskilawe@yahoo.com
Labels:deo kilawe
deo kilawe
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
that gud idea bro kip it up
ReplyDelete